Kocha Msaidizi Yanga kutangazwa wiki hii

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jul 2020
Kocha Msaidizi Yanga kutangazwa wiki hii

Uongozi wa klabu ya Yanga umesema uko katika hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kumpata Kocha Msaidizi ambaye atatangazwa ndani ya wiki hii

Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Simon Patrick amesema mchakato huo ulianza mapema baada ya aliyekuwa kocha msaidizi Charles Mkwasa kuomba aachwe akashughulikie masuala binafsi

Akihojiwa na chombo kimoja cha habari jana, Simon alisema mchakato wa kocha msaidizi utakamilika ndani ya wiki moja wakati ule wa kocha mkuu utakuwa tayari baada ya wiki mbili

Majina ya makocha wasaidizi wanaotajwa kuwaniwa na Yanga ni kocha mkuu wa Kagera Sugar Meckie Mexime na kocha wa Namungo Fc Hitimana Thiery

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’