Eymael apigwa stop Afrika Kusini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jul 2020
Eymael apigwa stop Afrika Kusini

Shirikisho la soka nchini Africa kusini SAFA limemfungia aliyekuwa kocha wa Yanga Luc Eymael kutofanya kutopata tena ruhusa ya kufanya kazi nchini kufuatia vitendo vya ubaguzi ambavyo kocha amefanya hivi karibuni hapa nchini

Viongozi wa shirikisho hilo wameiandikia wizara ya michezo na Mamlaka nyingine za serikali nchini humo kuwataarifu Kuwa siku za mbeleni wasije kutoa kibali cha kufanya kazi nchini humo kwa Luc Eymael

Viongozi wa SAFA wamesema wameamua kuungana na kuonyesha mshikamano kwa shirikisho la soka la Tanzania TFF ambao tayari wamekwishamshtaki kocha kwa shirikisho la soka Duniani FIFA,

Taarifa hiyo iliongeza kuwa kwa bahati mbaya tukio hilo limekuja katika kipindi ambacho Dunia ipo katika kampeni ya dunia ya kupiga ubaguzi (Black live matter) na wakati huo huo wanahistoria chungu na ya kuumiza kwani waafrika walikuwa wakichukuliwa Kama watumwa na kupelekwa katika mabara mengine ikiwemo Ulaya.

SAFA ikaendelea kwenda mbali katika historia ya nchi hiyo, kipindi ambacho nchi hiyo ilipitia ubaguzi wa rangi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’