Yanga imethibitisha usajili wa beki kisiki Bakari Nondo Mwamnyeto kutoka klabu ya Coastal Union
Mwamnyeto amesaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia mabingwa hao wa kihistoria
Yanga imewazidi ujanja watani zao Simba pamoja na Azam Fc waliokuwa wakiisaka huduma yake
Karibu Jangwani Mwamnyeto...!
ADVERTISE HERE