Mabingwa wa kihistoria Yanga wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Mbao Fc Waziri Junior
Waziri amemwaga wino wa miaka miwili kuwatumikia Wanajangwani hao
Huyu ni mmoja wa washambuliaji waliong'ara msimu wa ligi kuu ya Vodacom uliomalizika, akiweka kambani mabao 13

Karibu jangwani Junior...!
ADVERTISE HERE