Baada ya msimu wa 2019/2020 wa Ligi Kuu ya VPL kukamilika, leo Ijumaa Agosti 7, tuzo mbalimbali zitatolewa kwa wachezaji waliofanya vizuri katika msimu huu
Klabu ya Yanga itawakilishwa na kiungo Mapinduzi Balama anayewania tuzo ya kiungo bora huku beki wao mpya Bakari Nondo Mwamnyeto waliemsajili kutoka klabu ya Coastal Union, akiwania tuzo ya beki bora na mchezaji bora wa msimu
Tukio hilo litarushwa mbashara na Azam Sport 2 kuanzia saa 12 jioni
ADVERTISE HERE