Yanga yasajili wachezaji sita wa kigeni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Aug 2020
Yanga yasajili wachezaji sita wa kigeni

Uongozi wa klabu ya Yanga umesema tayari umekamilisha usajili wa nyota sita wa kigeni

Akizungumza na wanahabari jana kwenye hafla ya utolewaji tuzo za VPL kwa msimu wa 2019/20, Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Simon Patrick alisema kwa sasa wanakamilisha usajili wa nyota wa ndani kwani kwa wale wa kigeni walishamaliza

"Tumesajili wachezaji sita wa kigeni, hawa wanasubiri muda ufike waweze kuja nchini. Kwa sasa tunakamilisha usajili wa wachezaji wa ndani," alisema Mwanasheria huyo msomi

Katika hatua nyingine, Simon amesema Yanga ilishafunga mjadala kuhusu winga Bernard Morrison na wanasubiri maamuzi ya TFF kuhusu mashauri yanayomuhusu mchezaji huyo

"Sisi tulishasema, kama yeye Morrison anasema ni mchezaji huru, na aende akajiunge na timu yoyote, wala hakuna haja ya kuwepo mazungumzo mengi. Sisi tunasubiri maamuzi ya TFF ambao wametuita Jumatatu kwa ajili ya kutoa hukumu kuhusu suala lake"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’