Aliyekuwa mlinzi wa kushoto wa Yanga Jaffar Mohammed amejiunga na Namungo Fc kwa mkataba wa mwaka mmoja
Jaffar ni miongoni mwa wachezaji walioachwa na Yanga baada ya mkataba wake kumalizika
Aliichezea Yanga kwa misimu miwili akitokea klabu ya Majimaji ya mkoani Ruvuma
Kila la kheri mwamba...!
ADVERTISE HERE