Bodi ya Ligi Kuu imeweka hadharani Ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom msimu 2020/21 ambayo itaanza rasmi Septemba 06
Mabingwa wa kihistoria Yanga wataanzia nyumbani wakikipiga na Tanzania Prisons katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Mkapa saa moja usiku
Watani zao Simba wao wanaanzia mkoani Mbeya kuikabili Ihefu Fc iliyopanda daraja msimu uliopita
Hizi hapa mechi zote za raundi ya kwanza, kama kawaida ratiba yote itapatikana humu baadae...

ADVERTISE HERE