Mashabiki na Wanachama wa klabu ya Yanga wametakiwa kujitokeza uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kumpokea mshambuliaji mpya wa timu hiyo Michael Sarpong
Jimmy Msindo 'Kindoki', Mwanachama na mmoja wa wahamasishaji maarufu Yanga, amesema mapokezi hayo yatakuwa kama walivyowapokea Tuisila Kisinda na Mukoko Tonombe hapo jana
Baada ya mapokezi hayo, mashabiki kindakindaki wa Yanga watakuwa na Mkutano na Wanahabari
ADVERTISE HERE