Wachezaji Yanga wajazwa mapesa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Nov 2017
Wachezaji Yanga wajazwa mapesa
Siku chache zilizopita Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwassa alikiri kuwepo kwa madai ya mishahara kwa baadhi ya wachezaji na akaahidi kumaliza changamoto hiyo mapema.

Leo Mkwassa amethibitisha kumaliza changamoto hiyo na sasa hakuna mchezaji mwenye madai.

Mlinda lango Benno Kakolanya ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa na madai kwa uongozi wa Yanga.

Kakolanya alikuwa akidai sehemu ya fedha zake za usajili pamoja na madai mengine yaliyopelekea wakala wake kutishia kushitaki.

Katika maelezo yake ya awali Mkwassa aliwataka waandishi wa habari kuacha kupotosha kuhusu swala hilo na kusisitiza malipo yameshafanyika kwa wachezaji wote.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’