Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla leo anawaongoza Wanayanga mkoani Dodoma katika tukio la ufunguzi wa Wiki ya Mwananchi 2020
Tukio rasmi la uzinduzi huo litafanyika katika viwanja vya Mashujaa vilivyo katikati ya jiji la Dodoma
Dk Msolla aliongoza Maandamano ya Wanayanga kutoka Tawi la Yanga Makao Makuu mpaka viwanja vya Mashujaa ambako uzinduzi rasmi utafanyika






Hakika, Dodoma leo ni ya njano na kijani...!
ADVERTISE HERE