Carlinhos kutua Jumanne mchana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Aug 2020
Carlinhos kutua Jumanne mchana

Taarifa rasmi iliyotolewa kuhusu ujio wa kiungo Carlos Ferandes 'Carlinhos' kutoka kule nchini Angola, ni kuwa mwamba huyo atawasili kesho Jumanne majira ya saa saba mchana

Kama ilivyokuwa kwa Tuisila Kisinda, Mukoko Tonombe na Michael Sarpong, Mashabiki wa Yanga wametakiwa kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kumpokea fundi huyu anayefananishwa na Kelvin De Bruyne wa Manchester City

Baada ya Kisinda na Mukoko, huyu ndiye mtu ambaye Wanayanga wanamsubiri kwa hamu

Ni kesho Jumanne, saa saba mchana, atatua ardhi ya Tanzania...

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
3h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’