Kuanzia leo Jumanne, kampeni kubwa itakayoambatana na mauzo ya tiketi za Tamasha la Wiki ya Mwananchi itaanza kupigwa mtaa kwa mtaa jijini Dar es salaam
Kampeni hiyo itaambatana na matukio ya Burudani
Leo asubuhi wakazi wa Mbezi Mwisho jijini Dar es salaam watapata fursa ya kujipatia tiketi zao mapema. Mchana itakuwa zamu ya wakazi wa Manzese

ADVERTISE HERE