Shamrashamra kuelekea kilele cha wiki ya Mwananchi zinazidi kupamba moto ambapo kuanzia siku ya leo unaweza kujipatia tiketi yako mapema
Hii ni siku muhimu kwa kila Mwananchi, na kwa kiingilio cha Tsh elfu tano tu Mzunguuko, hutakosa burudani kibaooo pale uwanja wa Mkapa siku ya Jumapili
Majukwaa ya VIP A ni Tsh30,000/- wakati VIP B na C ni Tsh20,000/-
Hii ni siku maalum kwa mashabiki wote wa Yanga, jipatie tiketi yako mapemaaa
ADVERTISE HERE