Sogne hatawasili leo - Nugaz

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Aug 2020
Sogne hatawasili leo - Nugaz

Uongozi wa klabu ya Yanga umewataka Mashabiki waliokwenda uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ajili ya mapokezi ya mshambuliaji Yacouba Sogne warejee kwenye shughuli zao kwa kuwa mchezaji huyo hatafika leo

Afisa Msemaji na Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amewaomba radhi mashabiki wote kutokana na usumbufu waliopata

Hata hivyo amesema klabu haikuwa imetoa taarifa rasmi ya kuwataka mashabiki waende JNIA

Nugaz amewataka Wanayanga waendelee kununua tiketi tayari kwa kilele cha Wiki ya Mwananchi siku ya Jumapili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
37m ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
55m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
18h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’