Bosi mwenyewe GSM yuko uwanjani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Aug 2020
Bosi mwenyewe GSM yuko uwanjani

Leo ni siku ya furaha kwa Wanayanga pale uwanja wa Mkapa wanapohitimisha kilele cha Wiki ya Mwananchi

Shamra shamra zilianza mapema, mpaka sasa uwanja unakaribia kufurika mashabiki

Mmiliki wa GSM, Ghalib Said Mohammed, yuko ndani ya uwanja sambamba na viongozi waandamizi wa Yanga wakiongozwa na Mwenyekiti Dk Mshindo Msolla

Ghalib ndiye anayewafanya Wanayanga watembee kifua mbele msimu huu kwa usajili makini kupitia kampuni yake GSM

Mafanikio ya tukio hili la Wiki ya Mwananchi, ni ishara kubwa kuwa Wanayanga wamemuunga mkono na wataendelea kushirikiana nae

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’