Kikosi cha Yanga kinaendelea kujifua huko Kigamboni chini ya kocha Zlatko Krmpotic kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Tanzania Prisons
Mchezo huo utapigwa Jumapili, Septemba 06, uwanja wa Mkapa
Tangu jana Mabingwa hao wa kihistoria walihamishia Makazi yao katika mji wa kisasa, Avic huko Kigamboni, ambako kuanzia sasa ndiko yatakuwa makazi ya wachezaji





ADVERTISE HERE