Mfanyabiashara huyu ameamua kuweka waziwazi mapenzi yake kwa klabu ya Yanga na zaidi kwa kiungo Feisal Salum
Akaamua kupamba eneo lake la Biashara kwa rangi za Yanga na picha/mchoro wa kiungo Fei Toto
Mambo haya yanatokea pale tu, watu wanapokubali kile unachokifanya
Fei Toto ana deni kubwa kuhakikisha hawaangushi mashabiki ambao wanaonyesha upendo wa hali ya juu kwake
ADVERTISE HERE