Uzi ni mkali, saluti kwao GSM

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Sep 2020
Uzi ni mkali, saluti kwao GSM

Mkurugenzi wa Uwekezaji GMS Mhandisi Hersi Said aliwaahidi Wanayanga kuwa watashusha jezi kali yenye hadhi na heshima kwa klabu ya Yanga

Muda mchache baada ya jezi kuwekwa hadharani, pongezi nyingi zimetolewa kwa GSM na klabu ya Yanga kutokana na ubora wa jezi

Jezi ni mzuri, huu uzi unakwenda kuvunja rekodi ya mauzo kama ilivyokuwa kwa ile ya msimu uliopita

Kwa sasa jezi ya Yanga ndio habari ya mjini, kila kona inazungumzwa

Hongera kwa GSM, Hongera kwa Injinia Hersi kwani mmeishi ndani ya kile mlichoahidi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’