Mechi mbili goli mbili, Mbeya City wajipange

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Sep 2020
Mechi mbili goli mbili, Mbeya City wajipange

Mapema tu mshambuliaji mpya wa Yanga Michael Sarpong ameonyesha thamani yake ndani ya kikosi akipachika mabao mawili kutoka mechi mbili alizocheza

Bao lake la kwanza alilifunga kwenye kilele cha wiki ya Mwananchi dhidi ya Aigle Noir na wiki iliyopita katika mchezo wa kwanza wa ligi dhidi ya Tanzania Prisons, akafungua akaunti yake ya mabao msimu huu

Kesho Jumapili Yanga wanashuka uwanja wa Mkapa kwa mara nyingine kuikabili Mbeya City, mechi hii inaweza kuwa shoo nyingine kwa Mghana huyo

Sarpong ni mshambuliaji aliyekamilika, anafunga kutoka kila upande, iwe kwa mguu au kichwa

Tayari ameonyesha ni mshambuliaji ambaye hakabiki kwa urahisi, lakini pia anafahamu kujitengeneza nafasi aweze kufunga

Sarpong amejiwekea malengo ya kufunga angalau mabao 20 msimu huu

Kama ataendelea na mwenendo alioanza nao wa kutupia bao kila mechi, hakuna shaka atafanikiwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’