Hawa ndio Wananchi na timu yao

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Sep 2020
Hawa ndio Wananchi na timu yao

Jana baada ya mchezo dhidi ya Kagera Sugar; wachezaji, viongozi na benchi la ufundi walijumuika na Wanachama na Mashabiki wa Yanga mkoani Kagera kupata chakula pamoja

Mwaliko huo ulitolewana Wanayanga wa Kagera kwa wachezaji na viongozi wa Yanga waliosafiri na timu mkoani humo

Huu ndio utamaduni wa Wananchi, hasa linapokuja suala la kuithamini timu yao

Aidha, hili ni deni kwa wachezaji, wahakikishe wanawapa furaha Wanayanga hawa ambao wamevumilia mengi katika kipindi cha misimu mitatu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’