Baada ya kufanikiwa kuondoka na alama zote tatu kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar jana, kikosi cha Yanga kinarejea jijini Dar es salaam leo kuanza maandalizi ya mchezo unaofuata dhidi ya Mtibwa Sugar
Yanga itachuana na Mtibwa Sugar Jumamosi ijayo mchezo utakaopigwa uwanja wa Jamhuri
ADVERTISE HERE