Leo Jumapili kulikuwa na mchezo mmoja wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 11 ambapo Simba iliikaribisha Lipuli kwenye mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Uhuru.
Simba imelazimishwa sare ya bao 1-1.
Matokeo iliyopata Yanga jana dhidi ya Prisons yalipokelewa kwa huzuni na mashabiki wa Yanga huku wale wa Msimbazi wakiwa na kicheko kwa kudhani leo ingekuwa mteremko kwao.
Bila shaka mwenendo huu wa ligi unadhihirisha kila timu imejipanga msimu huu na timu itakayochanga karata zake vuziri kati ya Simba, Azam FC, Yanga na Singida United itaweza kutwaa ubingwa.
Simba inaendelea kuongoza ligi ikiwa na alama 23, alama mbili zaidi ya Yanga iliyo nafasi ya tatu.
Hata hivyo Azam FC inaweza kukwea kileleni mwa msimamo kama itailaza Mtibwa Sugar kesho Jumatatu.

ADVERTISE HERE