Mukoko apewa tuzo mechi ya Kagera Sugar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Sep 2020
Mukoko apewa tuzo mechi ya Kagera Sugar

Kiungo Mcongomani Mukoko Tomombe ameibuka kuwa nyota wa mchezo katika kikosi cha Yanga kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar uliopigwa juzi Jumamosi uwanja wa Kaitaba

Mukoko amepata kura zaidi ya asilimia 82 zilizopigwa na mashabiki wa Yanga kwenye ukurasa wa klabu hiyo mtandao wa Twitter

Kiungo huyo aliyetua Yanga akitokea klabu ya AS Vita, alifunga bao pekee la ushindi

Ni tuzo aliyostahili kutoka na mchango wake mkubwa katika mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’