Mfanyabishara na mchambuzi wa soka nchini Shaffih Dauda amekiri kupokea ofa nyingi kutoka nje ya nchi wadau wanaotaka kununua jezi mpya za klabu ya Yanga
Wadau mbalimbali kutoka kule Amerika na Barani Ulaya wamenunua jezi baada ya kuvutiwa na ubora wake


Inaelezwa tayari GSM wameuza nakala zaidi ya 10,000 katika kipindi cha wiki moja tangu jezi hizo zilipotambulishwa
Kwa msimu wa pili mfululizo, Yanga itafunika katika mauzo ya jezi kwani ni jezi yake tu inayotamba sokoni wakati huu
ADVERTISE HERE