Wachezaji nane wa Yanga wamejiunga vikosi vya Zanzibar Heroes na Kilimanjaro Stars kujiandaa na mashidano ya Chalenji yanayotarajiwa kufanyika Desembe 3, nchini Kenya.
Wachezaji wa Yanga waliojiunga na kikosi cha Zanzibar Heroes ni washambuliaji Emmanuel Martin, Mateo Anton na mabeki Haji Mwinyi Ngwali, Abdallah Haji Shaibu ‘Ninja’.
Kocha Mkuu wa timu ya ‘Zanzibar Heroes’ Hemed Morocco alisema anaimani ujio wa wachezaji hao umeongeza nguvu katika kikosi chake kuelekea katika mashindano ya Chalenj.
Aidha wachezaji wengine wanne wameitwa kwenye kikosi cha Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' ambao ni Gadiel Michael, Kelvin Yondani, Raphael Daudi na Ibrahim Ajib

ADVERTISE HERE