Yanga kamili kuikabili Mtibwa Sugar Morogoro

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Sep 2020
Yanga kamili kuikabili Mtibwa Sugar Morogoro

Kikosi cha Yanga jioni ya leo kitashuka kwenye uwanja wa Jamhuri kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Yanga iko mkoani Morogoro tangu juzi ikijiandaa na mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka nchini

Hesabu kali za mabingwa hao wa kihistoria ni kuhakikisha wanaondoka na alama zote tatu pamoja na kuwa haitakuwa kazi rahisi

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema vijana wako tayari kwa mtanange huo ambao utashuhudiwa na viongozi wote waandamizi wa Yanga wakiongozwa na Mwenyekiti Dk Mshindo Msolla

Viongozi wa Kamati ya Utendaji Yanga wako mkoani Morogoro kudhuhuria kikao cha Sekretarieti ambayo kilitarajiwa kufanyika jana

Wanayanga wamesafiri kutoka jijini Dar es salaam na mikoa ya jirani kuongeza hamasa hivyo uwanja leo utafurika Wananchi

Ni saa kumi jioni pale uwanja wa Jamhuri

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’