Azam FC nayo yawakuta ya Yanga na Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Nov 2017
Azam FC nayo yawakuta ya Yanga na Simba
Mchezo wa mwisho wa VPL mzunguuko 11 uliopigwa leo Jumatatu kati ya Azam FC dhidi ya Mtibwa Sugar umemalizika kwa sare ya bao 1-1

Matokeo hayo yanafanya msimamo wa ligi katika nafasi za juu uendelee kubaki kama ulivyokuwa mwishoni mwa mzunguuko wa 10.

Simba na Azam zinaendelea kuongoza zote zikiwa na alama 23. Simba ikiwa mbele kwa tofauti ya mabao.

Yanga inaendelea kushika nafasi ya tatu baada ya kujikusanyia alama 21.

Katika mzunguuko wa 11, Yanga ililazimishwa sare ya bao 1-1 na Prisons, Simba ikalazimishwa sare ya bao 1-1 na Lipuli na leo Azam FC nayo imelazimishwa sare ya bao 1-1 na Mtibwa Sugar
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
23h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’