Yanga kuweka kambi Mwanza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Oct 2020
Yanga kuweka kambi Mwanza

Baada ya mchezo dhidi ya Simba kusogezwa mbele Novemba 07, ratiba mpya iliyotolewa na Bodi ya Ligi, inaonyesha kuwa Yanga itashuka dimbani Oktoba 22 kuikabili Polisi Tanzania mchezo ukitarajiwa kupigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Baada ya mchezo huo, kikosi cha Yanga kitaelekea jijini Mwanza kuweka kambi, kwani watacheza mechi tatu mkoani humo

Klabu ya KMC imechagua uwanja wa CCM Kirumba kwa ajili ya mchezo wake dhidi ya Yanga ambao utapigwa Oktoba 25

Baada ya mchezo huo, Yanga itaendelea kubaki jijini Mwanza ambapo Oktoba 30 watashuka tena CCM Kirumba kuikabili Biashara United

Mchezo wa tatu utakaopigwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba ni dhidi ya Gwambina Fc, utapigwa Novemba 03 2020

Baadae Yanga itarejea jijini Dar es salaam kuwakabili watani zao, klabu ya Simba Novemba 07 2020

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’