Lamine, Mwamnyeto manahodha wapya Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Oct 2020
Lamine, Mwamnyeto manahodha wapya Yanga

Mghana Lamine Moro ndiye atakayekuwa nahodha wa kikosi cha Yanga akisaidiana na Bakari Nondo Mwamnyeto pamoja na Mukoko Tomombe

Mabeki Lamine na Mwamnyeto wametengeneza ukuta usiopitika kirahisi mpaka sasa wakiiweka Yanga salama ikiwa imeruhusu bao moja tu

Yanga ndio timu pekee iliyoruhusu nyavu zake kuguswa mara moja tu msimu huu

Kazi ya Mukoko pia imeonekana kwenye mechi alizocheza mpaka sasa. Amefunga mabao huku akiwa mmoja wa wahamasishaji ndani ya uwanja

Wachezaji hawa kuwa viongozi wa wenzao ni jambo jema zaidi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’