FT : Yanga 1-0 Mwadui Fc, friend match

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Oct 2020
FT : Yanga 1-0 Mwadui Fc, friend match

Yanga imefanikiwa kuondoka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mwadui Fc katika mchezo wa kirafiki uliopigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi

Bao pekee la Yanga lilifungwa na Michael Sarpong kwenye dakika ya 81 akitumia vyema makosa yaliyofanywa na safu ya ulinzi ya Mwadui Fc pamoja na mlinda lango wao

Balaa lote lilisababishwa na mpira chonganishi uliopigwa na Carlinhos umbali wa takribani 30

Yanga haikuwa na mchezo mzuri kwenye kipindi cha kwanza. Pengine hali hiyo ilitokana na idadi kubwa ya wachezaji walioanza hawakuwa na nafasi ya kucheza mara kwa mara kwenye kikosi cha kocha wa zamani Zlatko Krmpotic

Kuingia kwa Mukoko Tomombe na Carlinhos kwenye kipindi cha pili, kulibadili taswira ya mchezo huo Yanga ikitengeneza nafasi zaidi kwenye kipindi hicho

Bado benchi la ufundi linakazi ya kutengeneza munganiko wa kikosi kwani bado changamoto katika kutengeneza mashambulizi imeonekana

Pengine uongozi wa Yanga unapaswa kuharakisha ujio wa kocha Cedric Kaze ili aweze kukiandaa kikosi chake kabla ligi haijashika kasi baada ya mapumziko ya mechi za Kimataifa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’