Waziri Mkuu mgeni rasmi Stars vs Burundi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Oct 2020
Waziri Mkuu mgeni rasmi Stars vs Burundi

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kesho Jumapili itashuka kunako uwanja wa Benjamin Mkapa kuumana na Burundi katika mchezo wa kirafiki ambao uko kwenye kalenda ya FIFA

Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imebainisha kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa kumi Alasiri

Huu utakuwa mchezo wa kwanza kwa Stars kushuka dimbani tangu ilipotokea changamoto ya corona mwezi mwanzoni mwa mwezi March

Ni mchezo wa kujipima nguvu kuelekea mchezo wa kusaka tiketi ya fainali za michuano ya AFCON 2021 dhidi ya Tunisia ambao utapigwa Novemba 13 kule Tunisia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’