Viwanja vinne kuwaka moto VPL leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Oct 2020
Viwanja vinne kuwaka moto VPL leo

Baada ya mapumziko ya mechi za Kimataifa, Ligi Kuu ya Vodacom inaendelea leo kwa kuingia mzunguuko wa sita

Wakati Yanga na Simba mchezo wao ukiwa umepigwa kalenda na TFF kwa kile kilichoelezwa wachezaji wa kigeni kuchelewa kurejea kutoka timu zao za Taifa, Namungo Fc iliyotoa wachezaji watatu timu ya Taifa ya Burundi, iko uwanjani leo kukabiliana na Kagera Sugar

Mchezo wa mapema saa nane ni kati ya JKT Tanzania dhidi ya Ruvu Shooting. Baadae Biashara United watacheza na Ihefu Fc, KMC watacheza na Coastal Union

Yanga na Simba zitasubiri mpaka Oktoba 22 kushuka dimbani. Yanga itashuka dimba la Mkapa kuumana na Polisi Tanzania, Simba itaelekea Rukwa kuifuata Tanzania Prisons

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’