Alhamisi ya wiki hii, Yanga watakuwa na jambo lao pale uwanja wa Uhuru, wakiwakaribisha Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Huu ni mchezo wa kwanza wa kocha Cedric Kaze, kampa kampatena ndio inaanza kurejea hivyo...!
Yanga imeweka wazi viingilio vya mchezo huo mapema tu ambapo kwa kiingilio cha 'Buku Tano' tu Mzunguuko utaweza kuushuhudia mchezo huo mbashara ukiwa uwanjani
VIP A ni Tsh 15,000/- na Mzunguuko ni Tsh 10,000/-
ADVERTISE HERE