Azam Fc wako vizuri, kazi ipo mbio za ubingwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Oct 2020
Azam Fc wako vizuri, kazi ipo mbio za ubingwa

Azam Fc imefanikiwa kuondoka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ihefu Fc na kuwafanya Wanarambaramba hao wawe wameshinda mechi zote saba walizocheza msimu huu

Wamefikisha alama 21 wakibaki kileleni mwa msimamo wa ligi mbele ya Simba na Yanga zenye alama 13

Ni wazi msimu huu ushindani utakuwa mkubwa katika mbio za kuwania ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom

Azam Fc wanaonekana kuimarika kadiri siku zinavyosonga, tofauti ya alama nane kileleni si haba

Mchezo dhidi ya Polisi Tanzania keshokutwa ni muhimu sana kwa Yanga kuondoka na alama zote tatu ili kuhakikisha Wananchi wanabaki katika mazingira salama kwenye mbio za ubingwa

Ingawa bado ni mapema sana kuzungumzia ubingwa lakini ni muhimu kupata matokeo mazuri ili kujiwekea mazingira mazuri kabla ligi kuchanganya

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’