Mshambuliaji wa Yanga Waziri Junior ameibuka kuwa mchezaji bora wa kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC ambao ulipigwa juzi uwanja wa CCM Kirumba
Waziri ameshinda tuzo hiyo baada ya kupigiwa kura nyingi na mashabiki wa Yanga akiwashinda Feisal Salum na Lamine Moro
Katika mchezo huo, Junior alifunga bao la ushindi la Yanga, likiwa ni bao lake la kwanza msimu huu
Hongera Waziri Junior...!
ADVERTISE HERE