Baada ya kutua Musoma, kikosi cha Yanga kimewasili uwanja wa Karume kufanya mazoezi yake ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Biashara United
Mchezo huo utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa huo
Yanga iliwasili Musoma mchana wa leo ikitokea mkoani Mwanza ambako iliweka kambi ya siku tano kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo
ADVERTISE HERE