Kaze awapa kongole wachezaji, sapoti ya mashabiki

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Nov 2020
Kaze awapa kongole wachezaji, sapoti ya mashabiki

Kocha Mkuu wa Yanga Cedric Kaze amewapongeza wachezaji wake kwa kufanikiwa kuondoka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Biashara United katika uwanja wa Karume, Musoma jana

Uwanja huo ulikuwa mgumu kwa Yanga kupata ushindi misimu ya nyuma lakini jana Sarpong akavunja mwiko kwa kufunga bao pekee la ushindi kwanye dakika ya 68

Kaze amesema vijana wake walipambana kwa muda wote wa mchezo kuhakikisha wanapata matokeo

Aidha amewapongeza mashabiki kwa kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao

"Nawashukuru wachezaji wetu kwa kutupatia ushindi huu muhimu. Asante Wananchi kwa sapoti yenu kila mahali tunakwenda... Tungali mwanzo acha tutumike sana ju kesho tuimarike zaidi"

"Jumanne tuna kibarua kizito dhidi ya Gwambina. Endeleeni kutuamini, tuombeeni tutafanya nguvu zote ili tuwafurahishe"

Yanga inarejea jijini Mwanza ambapo Jumanne watakuwa Misungwi kuikabili Gwambina Fc ambayo jana ililazwa mabao 3-0 dhidi ya KMC

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
15h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
20h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’