Kaze abadili kikosi akiivaa Gwambina Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Nov 2020
Kaze abadili kikosi akiivaa Gwambina Fc

Kocha Mkuu wa Yanga Cedric Kaze leo amefanya mabadiliko ya kikosi chake kinachoanza dhidi ya Gwambina

Kaze amesema baadhi ya wachezaji wamecheza mfululizo hivyo wanakabiliwa na uchovu

Aidha amesema hii ni nafasi kwa wachezaji wengine kuonyesha uwezo wao ili wapate nafasi ya kuingia kwenye kikosi cha kwanza

Miongoni mwa wachezaji waliopata nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza leo ni pamoja na Paulo Godfrey, Said Juma Makapu, Abdallah Shaibu, Abdulazi Makame, Zawadi Mauya na Deus Kaseke

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’