Lamine amerejea kuiwinda Namungo Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Nov 2020
Lamine amerejea kuiwinda Namungo Fc

Baada ya kukosekana kwa takribani siku 10 kutokana na majeraha aliyopata kwenye mchezo dhidi ya Simba, nahodha wa Yanga Lamine Moro amerejea kikosini akianza mazoezi na wachezaji wenzake

Yanga inajifua kujiandaa na mchezo dhidi ya Namungo Fc ambao utapigwa Novemba 22 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa

Kurejea kwa Lamine ni habari njema kwa mabingwa hao wa kihistoria, kwani kwa kiasi kikubwa yeye ndiye kiongozi katika safu ya ulinzi lakini pia akiwa na majukumu ya kuwaongoza wachezaji wenzake akiwa ni nahodha

Wiki ijayo Yanga inakabiliwa na mechi mbili muhimu, baada ya mchezo dhidi ya Namungo, watacheza na Azam Fc Novemba 25

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’