Nugaz, Yanga wakumbana na faini za TFF

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Nov 2020
Nugaz, Yanga wakumbana na faini za TFF

Klabu ya Yanga imepigwa faini Tsh Milioni Moja kutokana na makosa yaliyobainika na Kamati ya Uendeshaji wa Ligi Kuu kwenye mechi dhidi ya Biashara United na Gwambina Fc

Mechi dhidi ya Biashara Yanga imetozwa fainali ya Tsh Laki Tano mashabiki wake wakituhumiwa kuwapiga mawe waamuzi wakati wa mapumziko

Faini nyingine ya Tsh Laki Tano imemuangukia Afisa Msemaji na Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz akituhumiwa kufanya mahojiano na Wanahabari ndani ya eneo la kuchezea 'pitch' katika mchezo dhidi ya Gwambina Fc

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’