Azam Fc wataja viingilio mchezo dhidi ya Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Nov 2020
Azam Fc wataja viingilio mchezo dhidi ya Yanga

Siku ya Jumatano, Novemba 25 pale uwanja wa Azam Complex, kutakuwa na mchezo wa kukata na shoka kati ya wenyeji Azam Fc dhidi ya Yanga

Azam Fc wametaja viingilio vya mchezo huo ambao Mwananchi utalazimika kulipa Tsh 10,000/- kuweza kupata tiketi ya Mzunguuko

VIP A ni Tsh 30,000/- wakati VIP B ni Tsh 20,000/-

Tiketi zimeshaanza kuuzwa katika vituo vya Uwanjani Azam Complex, Dar Live Mbagala, gari maalumu litakalokuwa Buguruni, Magomeni Ice Cream Centre na Kariakoo Ice Cream Centre

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’