Kibwana apata matibabu ya mkono

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Nov 2020
Kibwana apata matibabu ya mkono

Uongozi wa klabu ya Yanga umethibitisha kuwa beki wake wa pembeni upande wa kulia Kibwana Shomari amepatiwa matibabu ya maumivu ya mkono aliyopata kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc hapo jana

Katika mchezo huo uliopigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Yanga iliondoka na ushindi wa bao 1-0 na hivyo kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi

Kibwana alikuwa katika kiwango bora kabla ya kupata maumivu hayo baada ya kufanyiwa madhambi na kiungo mshambuliaji wa Azam Fc Richard Jordi

Ilikuwa mwanzoni kabisa mwa kipindi cha pili ambapo nafasi yake ilichukuliwa na Said Juma Makapu

Kibwana anatarajiwa kukosa mchezo ujao wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania ambao utapigwa keshokutwa Jumamosi uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’