Saido ametua, bado watatu!

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Dec 2020
Saido ametua, bado watatu!

Usiku wa kuamkia leo Wananchi walifurika kwa wingi uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerer kushiriki mapokezi ya kiungo mshambuliaji Saido Ntibazonkiza

Kama ilivyokuwa kwa nyota waliomtangulia kufika, Wananchi walimpa heshima kubwa Ntibazonkiza pamoja na kuwa alifika usiku

Sasa baada ya mwamba huyo kutua, Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz akawaambia Wananchi wasichoke kwani dirisha dogo watakuwa na safari nyingine tatu

Kwa maana kuwa Yanga itasajili wachezaji wengine watatu dirisha litakapofunguliwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’