Dk Msolla ateua Kamati ndogo ya Mabadiliko ya Katiba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Dec 2020
Dk Msolla ateua Kamati ndogo ya Mabadiliko ya Katiba

Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Dk Mshindo Msolla kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji, leo amewateua Wanayanga nane kuunda Kamati ndogo ya Mabadiliko ya katiba ya Yanga

Kulingana na taarifa iliyotolewa na Yanga mapema leo, walioteuliwa ni;

Wakili Raymond Wawa - Mwenyekiti

Wakili Sam Mapande - Mjumbe

Wakili Audats Kahendagile - Mjumbe

Wakili Imani MAdega - Mjumbe

Wakili Mark Anthony - Mjumbe

Ndugu Mohammed Msumi - Mjumbe

Ndugu Pastory Kiyombia - Mjumbe

Ndugu Debora Mkemwa - Mjumbe

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
33m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’