Yanga Princess imeendelea kuuwasha moto ligi kuu ya Wanawake 'Serengeti Lite' leo wakiwachapa ES Unyanyembe mabao 5-0 katika mchezo uliopigwa mkoani Tabora
Huo ni mchezo wa tatu kati ya mitano Yanga Princess inapata ushindi wa zaidi ya mabao manne
Sasa kinadada hao wamefunga jumla ya mabao 16 bila ya kuruhusu bao kugusa nyavu zao

Ushindi wa leo umewarudisha kileleni mwa msimamo wa ligi ya Wanawake wakikusanya alama 13 kutoka mechi tano
Hii ndio timu ya ubingwa sasa...!
ADVERTISE HERE