Tshishimbi akifanya yake uwanja wa Uhuru

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Dec 2017
Tshishimbi akifanya yake uwanja wa Uhuru
Kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi leo uwanja wa Uhuru kujiandaa na mchezo wa kombe la FA dhidi ya Reha utakaopigwa kati ya Disemba 20-25.

Kiungo mahiri Papi Kabamba Tshishimbi ni miongoni mwa wachezaji walioshiriki kikamilifu mazoezi ya leo baada ya kupona kabisa majeraha yake.

Yanga inaendelea kuwakosa wachezaji wake walio kwenye vikosi vya Kilimanjaro Stars na Zanzibar Heroes zinazoshiriki michuano ya Chalenji nchini Kenya.

Mazoezi yanasimamiwa na kocha George Lwandamina ambaye amerejea siku chache zilizopita baada ya mapumziko ya wiki moja.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’