Wananchi wanashuka uwanjani muda mchache ujao kuikabili Tanzania Prisons katika mchezo wa kufunga mwaka 2020
Ni ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 18, ukiwa ni mchezo wa kwanza wa duru ya pili unaopigwa uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga
Kocha Cedric Kaze amechagua miamba hawa 11 kuwapa furaha Wananchi

Β
ADVERTISE HERE