Carlinhos aahidi makubwa 2021

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Jan 2021
Carlinhos aahidi makubwa 2021

Kiungo Carlos Carmo 'Carlinhos' amewashukuru Mashabiki wa klabu ya Yanga kwa sapoti waliyompa mwaka uliopita ambao ulikuwa na changamoto nyingi kwake

Carlinhos amesema pamoja na kutokuwa na mwanzo mzuri Yanga, anakumbuka mazuri aliyoyapata tukio kubwa likiwa mapokezi yake ya kihistoria aliyopata kutoka kwa Wananchi

"Mwaka uliopita ulikuwa na changamoto nyingi. Sikuwa na wakati mzuri kuwapa furaha mashabiki kutokana na kukabiliwa na majeraha mara kwa mara. Nashukuru kwa nyakati nzuri nlizopata, naahidi mwaka huu utakuwa bora zaidi," alisema Carlinhos

Nyota huyo kutoka nchini Angola yuko nje ya uwanja kwa zaidi ya wiki tano akisumbuliwa na majeraha

Anatarajiwa kurejea uwanjani mwezi huu baada ya kupona majeraha hayo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
3h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
8h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
8h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’