Ni Yanga vs Jamhuri Fc, Amaan Stadium

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Jan 2021
Ni Yanga vs Jamhuri Fc, Amaan Stadium

Kumekuwa na mkanganyiko wa Ratiba baada ya hapo jana Azam TV kutoa ratiba tofauti na ile iliyotolewa awali na waandaaji wa michuano ya kombe la Mapinduzi inayoanza leo visiwani Zanzibar

Hata hivyo imethibitishwa, Yanga itashuka dimbani leo kucheza na Jamhuri Fc kama ilivyo kwenye ratiba ya awali

Mchezo utachezwa kuanzia saa mbili na robo usiku

Wananchi pale visiwani Zanzibar wameaswa wajitokeze kwa wingi kuiunga mkono timu yao katika mchezo huo

Viingilio vya mchezo huo VIP ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 3,000/-

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
46m ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
12h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
16h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
20h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
21h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’